Abdul El-Sayed

IQNA

IQNA – Mwislamu wa kwanza kuchaguliwa katika Seneti ya Marekani anapanga kuapa kushika wadhifa wake kwa kutumia Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3483036   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/13

IQNA – Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Canada (NCCM) limeeleza mfululizo wa video za chuki dhidi ya Waislamu alizochapisha kwenye mitandao ya kijamii mchezaji wa Blue Jays, Anthony Santander, kuwa za kutia wasiwasi, huku msemaji wake akisema kuna “fursa halisi hapa” baada ya tukio hilo.
Habari ID: 3483030   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/12

IQNA – Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman amepongeza matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula mwaka huu nchini Marekani, ambapo Waislamu kadhaa walishinda viti katika Baraza la Wawakilishi na Seneti.
Habari ID: 3483010   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/07

IQNA – Kuchaguliwa kwa Abdul El-Sayed kuwa seneta mpya wa Michigan, na hivyo kuwa Mwislamu wa kwanza kuchaguliwa katika Seneti ya Marekani, ni hatua muhimu ya kihistoria katika siasa, na pigo kwa Warepublican waliojaribu kuufanya utambulisho wake wa kidini kuwa mzigo wa kiuchaguzi.
Habari ID: 3483009   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/07

IQNA – Angalau wagombea saba Waislamu, seneta mmoja na wajumbe sita wa Baraza la Wawakilishi, wameshinda viti katika Bunge la Congress (Kongresi) katika uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika Jumanne, na kuandika ongezeko la kihistoria katika mabunge yote mawili.
Habari ID: 3483005   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/06

IQNA – Abdul El-Sayed ameandika historia kama Muislamu wa kwanza kuchaguliwa katika bunge la Seneti ya Marekani, baada ya kuvuka kampeni ambayo wakosoaji waliielezea kuwa mojawapo ya kampeni zenye chuki dhahiri zaidi dhidi ya Uislamu katika siasa za kisasa za Marekani.
Habari ID: 3483003   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/06

IQNA – Daktari Abdul El-Sayed wa chama cha upinzani cha Democrats ameshinda mbio za Seneti za Michigan, akimshinda Mrepublican Mike Rogers na kuwa Mmarekani Mwislamu wa kwanza kuchaguliwa katika baraza la juu la Bunge.
Habari ID: 3482999   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/04

IQNA – Takwimu za Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) zinaonyesha mtindo maalumu: uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu katika jimbo la Minnesota nchini Marekani huongezeka wakati wa miaka ya uchaguzi.
Habari ID: 3482990   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/03

IQNA – Mgombea Muislamu wa kiti cha Seneti, aliyezaliwa na kukulia Marekani, ameambiwa na Donald Trump “arudi alikotoka,” kauli iliyozua lawama.
Habari ID: 3482981   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/01

IQNA-Uchambuzi wa Stephen Collinson katika CNN, umebaini kuwa kinyang’anyiro cha useneta cha Michigan, Marekani kimezalisha baadhi ya kauli za kibaguzi zaidi kuwahi kusikika katika uchaguzi wa kisasa nchini humo, nyingi zikimlenga mgombea wa chama cha Democratic, Abdul El-Sayed.
Habari ID: 3482972   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/30

IQNA – Katika wito wa moja kwa moja kwa wapiga kura wa jimbo la Michigan, Rais wa Marekani Donald Trump amewasihi kutomuunga mkono Abdul El-Sayed, mgombea Muislamu anayewania kiti katika Seneti ya Marekani.
Habari ID: 3482961   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/27

IQNA — Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, amelaani vikali kauli na mienendo yenye chuki dhidi ya Waislamu, huku akinukuu ujumbe wa Qur’ani Tukufu na kueleza kusikitishwa kwake kwa kina na vitendo vya dhuluma na manyanyaso yanayoendelea kuwakabili Waislamu.
Habari ID: 3482940   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/23

IQNA — Meya wa Jiji la New York nchini Marekani, Zohran Mamdani, ametangaza kumuunga mkono mgombea wa kiti cha Seneti kupitia Chama cha Democratic, Abdul El-Sayed, katika jimbo la Michigan, akisisitiza vipaumbele vyao vya pamoja katika masuala ya huduma za afya, unafuu wa maisha, na marekebisho ya mfumo wa ufadhili wa kampeni za uchaguzi.
Habari ID: 3482937   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/21

IQNA – Abdul El-Sayed, mgombea wa chama cha Democratic kutoka jimboni Michigan anayewania kiti cha Seneti, amekemea vikali kauli za mara kwa mara za Rais wa Marekani Donald Trump zilizomtaja kuwa “mwenye msimamo mkali,” akitumia mashambulizi hayo kutetea imani yake ya Kiislamu kwenye kampeni zake.
Habari ID: 3482929   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/20

IQNA – Waislamu wa Marekani wataendelea kuswali, kujitokeza hadharani, na kushiriki kikamilifu katika maisha ya kijamii na kisiasa; huo ndio uliokuwa ujumbe mzito uliotolewa siku ya Jumatatu na shirika moja la kutetea haki za Waislamu, kufuatia hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kudhihaki umashuhuri na kuenea kwa jina tukufu la Muhammad.
Habari ID: 3482922   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/18

IQNA – Katika hatua nyingine ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), rais wa Marekani alikejeli kuhusu jinsi jina Muhammad lilivyo na umiliki mpana katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3482913   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/17

IQNA – Saa chache tu baada ya ushindi wa Abdul El-Sayed katika uchaguzi wa awali wa Seneti wa chama cha Democratic huko Michigan, matusi na chuki mtandaoni dhidi yake viliongezeka kwa kasi kubwa, kulingana na utafiti mpya wa Kituo cha Utafiti wa Chuki Iliyopangwa (CSOH).
Habari ID: 3482626   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/15

IQNA – Vyombo vya habari vya Israel vimeonyesha wasiwasi kufuatia ushindi wa daktari Mmisri-Mmarekani, Abdul El-Sayed, katika kura za mchujo za Chama cha Democratic kwa kiti cha Seneti ya Marekani katika jimbo la Michigan, vikilitaja tukio hilo kuwa pigo muhimu kwa makundi yanayounga mkono Israel nchini Marekani.
Habari ID: 3482593   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/07